Ligi kuu ya uingereza imeendelea hapo jana baada ya arsenal kifunga aston villa goal 2 - 1 magoli arsenal wamefungwa na wilshere & giroud na goli la aston villa limefungwa na benteke . Arsenal wanaongoza ligi kwa point 48 na wapili ni man city point 47.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni